Event Details

Event

Maonesho Ya 47 Ya Biashara Ya Kimataifa-Sabasaba

28 Jun Joseph Kiphizi Added: 3 months 0 Attended

Chuo Kikuu Mzumbe tunawakaribisha Alumni wetu na wananchi kwa ujumla kutembelea banda letu katika viwanja wa Mwalimu J.K.Nyerere Dar es Salaam yanapofanyika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara.Banda letu lipo jirani na Jukwaa  Kuu(DOMA).

Start Time

Wed 28 Jun 2023 08:00 a.m. - 05:00 a.m.

Ending Time

Thu 13 Jul 2023 05:00 a.m.

Event Location

VIWANJA VYA MWAL. JULIUS K. NYERERE,BARABARA YA KILWA-DAR ES SALAAM