Hafla Ya Uwekaji Wa Jiwe La Msining Mradi Wa Ujenzi Wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro
04 Aug
Joseph Kiphizi
Added: 4 months, 4 weeks
0 Attended
Mgeni Rasmi ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atahudhuria Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Chuo Kikuu Mzumbe Eneo la Maekani itakayofanyika tarehe 04 Agosti 2024 kuanzia saa 2 Asubuhi.
Start Time
Sun 04 Aug 2024 08:00 a.m. - 04:00 a.m.
Ending Time
Sun 04 Aug 2024 04:00 a.m.
Event Location
MAEKANI - KAMPASI KUU MOROGORO