Event Details

Event

Huduma Ya Udahili Kwa Njia Ya Mtandao

15 Jul Joseph Kiphizi Added: 5 months, 1 week 0 Attended

Chuo Kikuu Mzumbe baada ya maonesho ya Sabasaba, kitakuwa kinatoa huduma ya usaidizi wa kutuma maombi ya kujiunga na Chuo hiki  kwa njia ya mtandao, Huduma hii itatolewa kwenye ndaki yetu ya Dar es Salaam kuanzaia 15 Julai 2024 hadi 21 Julai 2024.

Kwa wakazi wa Dar es Salaam fika kampasi yetu hii kwa ushauri na maelezo ya kina kuhusu programu zinazotolewa na Chuo kwenye ndaki zetu zote tatu(Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam).

Kwa uliyeko mbali unaweza kutuma maombi yako kupitia kiunganishi cha maombi: https://admission.mzumbe.ac.tz au piga namba zilizopo kwenye kipeperushi kwa msaada wa haraka wa namna ya kutuma maombi.
Karibu Chuo Kikuu Mzumbe, Tujifunze kwa Maendeleo ya Watu.

Start Time

Mon 15 Jul 2024 08:00 a.m. - 06:00 a.m.

Ending Time

Sun 21 Jul 2024 06:00 a.m.

Event Location

MZUMBE UNIVERSITY DAR ES SALAAM CAMPUS - UPANGA

Related Event Posts

Public Lecture

18 Jan Joseph Kiphizi 3

All students, Staff and alumni …

Maonesho Ya 47 Ya Biashara Ya Kimataifa-Sabasaba

28 Jun Joseph Kiphizi 3

Chuo Kikuu Mzumbe tunawakaribisha Alumni …