Maonesho Ya Sabasaba 20234
28 Jun
Joseph Kiphizi
Added: 7 months
0 Attended
Karibu utembelee banda la Chuo Kikuu Mzumbe kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam, Tutatoa huduma mbalimbali ikiwemo udahili kwa njia ya mtandao.
Start Time
Fri 28 Jun 2024 08:00 a.m. - 05:30 a.m.
Ending Time
Sat 13 Jul 2024 05:30 a.m.
Event Location
Viwanja vya Mwalimu J.K . Nyerere, Barabara ya Kilwa - Dar es Salaam.