News Details

Event

Kuelekea Siku Ya Wanawake Duniani

28 Feb Joseph Kiphizi Fri 28 Feb 2025

"Wanawake si watu wa pembeni katika maendeleo, bali ni washiriki wa mstari wa mbele"

Nukuu ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Maendeleo(Institute of Development Studies) Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Elizabeth Lulu Genda  kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Kaulimbiu ya mwaka huu ni "Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Usawa na Uwekezaji"

 

Tembelea kurasa zetu za Facebook na instagram kwa nukuu zaidi za wanawake wa nguvu kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

0 Comments

No Comments at the moment