News Details

Event

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili

10 Aug Joseph Kiphizi Sat 10 Aug 2024

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kwa masharti ya mkataba wa mwaka mmoja kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa tarehe 16 Agosti, 2024 – 17 Agosti, 2024 na hatimaye kuwapangia kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Bofya hapa kwa taarifa kamili

0 Comments

No Comments at the moment