News Details

Event

Maonesha Ya 48 Ya Kimataifa Ya Biashara Dar Es Salaam- Sabasaba

03 Jul Joseph Kiphizi Wed 03 Jul 2024

Tunawakaribisha wahitimu wetu wa Chuo Kikuu Mzumbe kutembelee Banda la Chuo Kikuu Mzumbe  kwenye Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam ukutane na wawakilishi wa Chuo Chetu kwenye maonesho haya akiwemo Mratibu wa Wahitimu Bi. Alihaika Joseph kupata maelezo mbalimbali yanayowahusu alumni wa Chuo Kikuu Mzumbe.

0 Comments

No Comments at the moment