News Details

Event

Salamu Za Pole

19 Jun Joseph Kiphizi Wed 19 Jun 2024

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha anaungana na ndugu, jamaa na marafiki kuomboleza kifo cha aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa KIlimanjaro(RAS) Bw. Tixon Nzunda ambaye ni mhitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe.

Bw. Nzunda alihitimu Stashahada ya Juu katika Utawala wa Umma(ADPA), 1997 - IDM - Mzumbe na Shahada ya Umahiri katika Utawala wa Umma(Usimamizi wa Rasilimali Watu) 2003 Chuo Kikuu Mzumbe.

0 Comments

No Comments at the moment