Mahafali Ya 22 Ya Chuo Kikuu Mzumbe
24 Nov
Joseph Kiphizi
Fri 24 Nov 2023
RAIS Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wajumbe wa Baraza la Chuo na pamoja na Menejimenti ya Chuo, alipowasili Chuo Kikuu Mzumbe, kwa ajili ya Sherehe za Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu Mzumbe yaliyofanyika Disemba 23, 2023 Kampasi Kuu Morogoro.
0 Comments