Uzinduzi Wa Kitabu
24 Nov
Joseph Kiphizi
Fri 24 Nov 2023
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda azindua kitabu kilichoandikwa na Prof. Joseph Kuzilwa ambaye pia ni Mhitimu na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Mstaafu
Kitabu hicho chenye jina "Usimamizi wa Mabadiliko Makubwa katika Taasisi za Elimu ya Juu” kina maudhui yanayohusu mabadiliko ya kihistoria ya Chuo Kikuu Mzumbe yaliyotokea tangua mwaka 1953 kilipoanzishwa kikiwa Kituo cha Mafunzo ya Serikali za Mitaa mpaka kuwa Chuo Kikuu Mzumbe.
0 Comments