
Mwaliko Kwenye Maonesho Ya Vyuo Vikuu 2020 Viwanja Vya Mnazi Mmoja Dar Es Salaam
27 Aug
Joseph Kiphizi
Thu 27 Aug 2020
Chuo Kikuu Mzumbe tunapenda kuwaalika wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe kutembelea banda letu katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu yatakayofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam kuanzia tarehe 31 Agosti hadi tarehe 5 Septemba, 2020.
Njoo na rafiki zako pamoja na na Wale wote wanaohitaji kujiunga na Chuo Kikuu Mzumbe kupata maelezo ya kina ya programu zinazotolewa na Chuo chetu.Pia huduma ya udahili itatolewa palepale kwenye banda letu.
Karibuni sana "Tujifunzi kwa maendeleo ya Watu".
0 Comments