Event Details

Event

Harambee Ya Ujenzi Wa Hosteli Ya Wasichana Chuo Kikuu Mzumbe -Ndaki Ya Mbeya

25 May Joseph Kiphizi Added: 1 year, 1 month 0 Attended

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya wana waalika wahitimu wote wa Chuo Kikuu Mzumbe kushiriki ujenzi wa hosteli ya wanafunzi wa kike Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya.

Changia kwa kutumia Kumbukumbu Namba ya Malipo 994180331310

Start Time

Thu 25 May 2023 06:00 a.m. - 04:07 p.m.

Ending Time

Mon 31 Jul 2023 04:07 p.m.

Event Location

MCC

Related Event Posts

Maonesho Ya 17 Ya Vyuo Vikuu

18 Jul Joseph Kiphizi 3

Karibu Katika Banda la CHUO …

Siku Ya Mzumbe Na Kambi Ya Ujasiriamali (Simkau)

11 May Joseph Kiphizi 3

Kwa mara ya kwanza Chuo …